IMMA Madishi

IMMA Madishi Imma Madishi ni kampuni inayo jihusisha na biashara ya vifaa mbali mbali vya Eletroniki na fenicha z

Imma Madishi inafanya biashara kwa kuzingatia utii, ustaarabu, utu na utashi wa kibiashara ili kusaidiana na jamii ya Mafinga na mkoa mzima wa Iringa na Mikoa jirani kupata huduma nzuri na kwa bei nafuu zaidi. Tunashughurika na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya Electronics kama, Redio (Music systems), Keyboards (vinanda), Simu, Pasi, TVs, Cables, Gererators, Pasi, Refigrators (Friji), Madishi na Ving

amuzi vyake na vingine vingi. Pia tunajihusisha na uuzaji na usambaji wa Fenicha za maofisini, shuleni, na majumbani. Tunatoa Huduma ya kufunga na kuset makabati (fenicha) mahali mteja alipo kwa gharama nafuu. Pia Imma Madishi inapokea Order maalum za wateja wanaotaka bidhaa tajwa kwa upekee wao kwa gharama nafuu. Tunapatikana Mafinga karibu na Jengo la CCM wilaya mkabala na uwanja wa Mashujaa.

Tunajali. Karibun
05/07/2016

Tunajali. Karibun

Karibun sana...
04/07/2016

Karibun sana...

30/11/2014

Tunaelekea mwishoni kabisa mwa mwaka, inapenda kuwatakia watu wote heri ya mwezi December na maandalizi mema ya Sikukuu .
Karibu store upate huduma kwa bei ya jumla na rejareja....
Kumbuka tarehe 1 ya Mwezi December ni siku ya UKIMWI Dunia, Jikinge, Mkinge na Tubaki salama.

01/12/2013

Stay safe, smart and free from HIV/AIDS.

for home decors

01/12/2013

Ni mwanzo wa Mwezi wa mwisho wa mwaka ( ), Imma Madishi inawatakia Mwisho mwema wa mwaka, Amani na upendo viwe kwa kila mpenda Maendeleo...

... 1st December ni siku ya UKIMWI duniani, STAY FREE, SMART AND SAFE FROM HIV/AIDS

kwa ajili yako.

25/11/2013

Ni msimu wa sikukuu sasa...
Tutakiane heri ya kuelekea mwisho wa mwaka kwa mafanikio na amani yetu.. Hata tukifurahia bidhaa kutoka hapa

05/11/2013

On board! Come and buy your DSTV dish for the affordable price ever!
Hakika! Njoo na ununue dishi la DSTV kwa bei poua sana!

05/11/2013
31/03/2012

NEW PHONES

28/03/2012

COME AND BUY OUR BEST ITEMS, WE SELL LATEST MOBILE PHONES, MUSIC SYSTEMS, DIGITAL TVS, SATELLITE DISHES including ZUKU(ving'amuzi), RADIOS AND MANY MORE.......AT BEST PRICE EVER!

Address

Mafinga
45

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IMMA Madishi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share