Mandesa furniture

Mandesa furniture Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mandesa furniture, Furniture shop, P. O. BOX 3027, Dar es Salaam.

30/04/2026
30/04/2026

Wahizo zipo kwemye maduka yetu yote ya DSM na dodoma@

Kumbuka zipo chache mawasiliano 0718878738

29/04/2026

SET KAMILI YA BEDROOM YA KIFAHARI โœจ

Badilisha chumba chako kiwe cha kisasa na cha kuvutia kwa set hii kamili inayojumuisha:
๐Ÿ›๏ธ Kitanda cha kisasa na imara
๐Ÿ—„๏ธ Kabati lenye nafasi kubwa ya kuhifadhi
๐Ÿชž Dressing table yenye kioo kizuri
๐Ÿ›Œ Godoro la starehe kwa usingizi mzuri

โœ”๏ธ Ubora wa hali ya juu
โœ”๏ธ Muonekano wa kifahari
โœ”๏ธ Inafaa kwa nyumba, hoteli na Airbnb

๐Ÿ“ Bei nafuu
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa kuagiza!
No 0718878738

Tupo makumbusho new Gagamoyo Road na Dodoma tupo Swaswa Beach Kona

26/04/2026

Karibu sana dukani kwetu tumeshusha mzigo mpyaaa
Dodoma tuma Swaswa Dan Makumbusho

25/04/2026

Zipo chache bei kitonga 4,200,000 free delivery Mpaka mikoani

23/04/2026

Unatafuta muonekano wa kisasa na wa kifahari kwa chumba chako cha kulala? Tunakuletea Bedroom Set ya hali ya juu kutoka Italia ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น โ€“ ubora wa kipekee, muundo wa kuvutia, na faraja isiyo na kifani!

๐Ÿ›๏ธ Inajumuisha:

Kitanda kikubwa (Queen/King size)

Kabati la kisasa lenye nafasi ya kutosha

Meza za pembeni (bedside tables)

Dressing table yenye kioo maridadi

๐ŸŒŸ Sifa kuu:

Imetengenezwa kwa mbao imara na kumaliziwa kwa ubora wa juu

Muundo wa kisasa (modern luxury design)

Rangi tulivu zinazoendana na mapambo ya aina yoyote

๐Ÿšš Tunatoa huduma ya usafirishaji hadi mlangoni๐Ÿ’ฐ Bei nafuu ukilinganisha na ubora wake

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa: 0718878738๐Ÿ“ Tunapatikana Dar es Salaam na Dodoma

Fanya chumba chako kiwe sehemu ya kupumzika kwa hadhi ya juu! ๐Ÿ›Œ

21/04/2026

Hizi zimeisha imebakia moja
Chest of drowers

18/04/2026

Naombeni muwahi kulipia zinaisha jamami havilkai kabiasa

17/04/2026

๐Ÿ”ฅ SOFA YA KISASA โ€“ UBORA WA HALI YA JUU ๐Ÿ”ฅ

Unatafuta sofa imara, ya kuvutia na yenye hadhi? Tunayo suluhisho lako!

๐Ÿ›‹๏ธ Sofa ya watu 6
โœ”๏ธ Kitambaa madhubuti, cha kudumu na rahisi kusafisha
โœ”๏ธ Muundo wa kisasa unaoendana na mazingira yoyote ya nyumbani
โœ”๏ธ Imetoka Italy โ€“ ubora wa kimataifa unaoaminika

๐Ÿ“ Tunapatikana Dodoma โ€“ maeneo ya Swaswa
๐Ÿ“ Pia Dar es Salaam โ€“ Makumbusho

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi: 0718878738 #

Harakisha sasa ujipatie sofa itakayobadilisha mwonekano wa sebule yako

Address

P. O. BOX 3027
Dar Es Salaam
14107

Telephone

0718878738

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mandesa furniture posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category