10/02/2023
Maziwa fresh na mtindi original kutoka shamba yanapatika kwa order!
*hayajaongezwa maji
*hayana dawa
*mazito full cream
* hayajachemshwa
*hayana harufu mbaya
*hayajaongezwa mafuta.
*Mazuri sana kwa afya ya familia nzima
* full cream yana matokeo makubwa kwa watengenezaji wa bidhaa za urembo na siagi
* Tunafanya free delivery kwa walioweka order mapema
* tunauza kuanzia lita 5 kwa bei ya
* FRESH 13,000
* MTINDI 15,000
Vile vile tuna kuku na mayai kienyeji, migebuka, sangara na ndizi mzuzu!
+255 653 862 085 NDIO NAMBA YA BAHATI.