04/08/2024
Emech Home Decors wauzaji wakuu wa Sofa Products.
Leo tunakuletea OTTOMAN / PUFF BENCHI imara za kufunguka kwa ajili ya Saluni yako au nyumbani ya Kumatch na rangi ya kitanda chako😍.
*Bei ni kuanzia 70,000/- Mpaka 150,000/-
*Size ni Futi 4 & Futi 5
~Pia Unaweza kujipatia:
*Sofa Beds (Vitanda): 200,000/- Mpaka 270,000/-
*Show Case Nzuri za TV: 100,000/- Mpaka 130,000/-
* Sofa Coach (Viti) : 200,000/- Mpaka 500,000/-
Tunafanya kazi za uhakika HATULIPUI KAZI!!!
Karibu inbox na picha yako uliopenda tufanye delivery😍