24/08/2026
π¨ WADAU WA BACK TO SCHOOL π¨
Shule inafunguliwa na hakuna mtoi atakunywa uji baridi k**a story ya jana! βοΈπ
Mbona uji ama chai ya mtoi iwe cold k**a text za ex? π€§π
Tumeletewa FLASKS mpya β the real MVP ya school bag! ππ₯
Kwa sababu ukweli ni ukweli:
π© Uji, chai baridi saa nne ya break = machozi
π€ Flask inaleak bagpack = disaster (na exercise book imelowa)
π Flask poa hivi = teacher ata-ambia "eh, hii ni fiti sana"
Tuko na:
β¨ Za pink na floral kwa dem gals
π€ Nyeusi na steel kwa wale wako "too cool" ju ya shule ya msingi
πͺ Za zamani, steel imara β zinaangukia chini, zinakaliwa, zinawekwa na vitabu vitano, bado zinasimama kidedani
Kwa hivyo β vile flask ya mtoto wako inataka kuwa, tuko nayo.
π Kuja Star Home Appliances Kahwa west, Bima road kabla ya msongamano
π° Bei kuanzia Ksh 500/-
π Piga simu au WhatsApp 0710 247 474 au 0181 050 335β reserve yako, usije ukalilia baadaye eti tumeisha stock π
Uji moto. Mtoto happy. Parent amepumzika. Hiyo ndio flask promise. π