John kambi furniture

John kambi furniture i do oll kind of furniture.

24/01/2026

Welcome all at John kambi furniture

Likoni  my nawa karibisha nyote kwa kazi nzuri safi naya kuvutia karibuni saana wateja wangu na nyote mnao penda kazi sa...
24/01/2026

Likoni my nawa karibisha nyote kwa kazi nzuri safi naya kuvutia karibuni saana wateja wangu na nyote mnao penda kazi safi isio chukuwa siku nyingi nawa penda saana na MUNGU atubariki sisi wote.

20/12/2025

Lamu

My hand work imenipeleka hadi Lamu, shukrani zangu kwa wateja nyonte mnao niamini katika kazi zangu nami najitahidu kuwa...
20/12/2025

My hand work imenipeleka hadi Lamu, shukrani zangu kwa wateja nyonte mnao niamini katika kazi zangu nami najitahidu kuwa ridhisha kwa kiwapa mnacho kitaka kwa wakati unao faa asanteni saana.

Small kitchen an smart.
20/12/2025

Small kitchen an smart.

05/12/2025

Karibuni kwa siling ambayo sahii nawa wekea konar za mauwa pana na nzuri saana sio zile koner za mbao za kawaida sahi kazi inazidi kuwa bora nzuri na safi karibuni waana. Hakuna papy za katikati tena its like ime korogewa nawakaribisha nyote.

05/12/2025

Welcome all at John kambi furniture siling of its caind beautiful design even me i love it karibuni saana nyote. Kwa kazi inayo vutia macho na kufurahisha moyo.

05/12/2025

Address

At Majengo Town Mombasa. 001
Mombasa

Telephone

+254720518291

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when John kambi furniture posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category