Nafula Sharleen

Nafula Sharleen CEO/Mgr/Founder at👉nafulaconnect.com

*🇺🇸WE HOST DVLOTTERY WINNERS IN USA🇺🇸*

* DO NOT SEND MONEY! SCAM ALERT!
(4)

Payment on arrival to USA or our WEBSITE ONLY!👆
* NO Watsapp/Mpesa/Cashapp/Airtel-Mobile Money!
* All PHONE NUMBERS ONLINE👉FAKE/SCAMMERS!

05/29/2026

Hawa watu hu Lock Profile Facebook mnajionanga sukari sindio?😏Yani uko important that sisi wote tungependa sana kukuona?😂😂
Alafu uni inbox, Utakula Ngumi ya Mgongo wewe!🤣🤣

🇺🇸USA Manenos! Mkae mkijua Sina Loya!🤦‍♀️Wasee mnataka kukam kwa kasongo wa🇺🇸Majuu, cheki hii Rada!🤔 Nikiwashow mavitu h...
05/29/2026

🇺🇸USA Manenos! Mkae mkijua Sina Loya!🤦‍♀️Wasee mnataka kukam kwa kasongo wa🇺🇸Majuu, cheki hii Rada!🤔 Nikiwashow mavitu hata hamsikiangi😩

Rada ni hii,,,,,,,,si mnajua kasongo wa🇰🇪Jamuhuri ni chairman wa SIMPING association ya majuu right?😂So msee amekubali wasee wa Ebola wapate vacation Kenya kabla wakam majuu wakiwa wasafi right?!

So tuseme USA haitaki ma Ebola huku so, simping chairman coz anapenda doo akadai acha wakam Kenya coz wasee wa Ebola si hawatafika statehouse!🤷‍♀️Worst case scenario incase kuna leak ya ugonjwa si Madem na morio wa mtaa ndio watanyuria si George, Nick ama Charlene Ruto right?🤔

Anywho,,,,,k**a unaplan kuapply visa kuja majuu ama greencard, endelea kutype comments ama uki post vitu zinapinga quarantine kujengwa Jamuhuri nanii!🤦‍♀️
Vile utanyimwa visa kwa hiyo dirisha ya embassy after takriban 2 minutes taslimu of interview😂😂Utaskia tu Visa DENIED! Unachapwa Pink Paper unabaki ukishindwa Rada ni gani?🤣🤣Sitawafunza kila kitu aisee.

Na mkae mkijua internet never forgets. Comment na post zako za 2026 zitakufanya unyimwe USA visa uta apply in 2035, Ustake Jua!😂😂Mdosi wa Tiktok, Facebook, Youtube ni beshte na serekali ya kasongo wa majuu mtu wangu! Watapeana dhambi zako online k**a njugu bro!

Badala kutype ama kupost opinion yako online, meza tu iingie kwa tumbo upate kitambi k**a hii ya Nafula! Hii kitambi yangu imejaa opinions siwezi sema online, Ustake Jua😂

Wasee wa vizungu hawakutumia kuandika insha high school utawapata comment section wanashine na hizo vizungu huku. Utakula ngumi ya mgongo wewe🤣🤣 🇰🇪 Diana Bahati Triza Mamake Muraya

05/28/2026

Wasee shikeni hii Rada🤔Kama unataka kukaa majuu🇺🇸bila Ngori avoid Fraud na Criminal Record, Ustake Jua✌️✌️

05/28/2026

DVLottery Winner anatushow maisha yako vipi🇺🇸Majuu! Follow Elia Bennet

18+ Watoi kaeni mbali na hii post, Ustake Jua!🤦‍♀️ Ngori hupata Mamorio🇺🇸USA! Unajua mamorio wengi GenZ wanapenda mechi ...
05/28/2026

18+ Watoi kaeni mbali na hii post, Ustake Jua!🤦‍♀️ Ngori hupata Mamorio🇺🇸USA! Unajua mamorio wengi GenZ wanapenda mechi right? So, hao mamorio hukam majuu na damu imechamka kuruka! Boy wakifika wanatafuta mamanzi huku coz mamanzi wa USA mechi hawashikiliangi. Unaeza pata manzi club, unamsho niaje, next thing GenZ umerushwa kwa gari ama kwa kona flani unapiga mechi na msee hujui hata jina yake😂😂

Here is the thing, food ya mayolo huwa na ma hormornes. So Dem wa 16 yrs huku, ako na majegi na mafurbanya za msee wa ma 20’s ama 30’s huko. So wewe ukikutana nao club, unawaza ni dem ako mature. Here is the catch, mamanzi huku wanatarget wasee immigrants wanaopenda story za mechi to feel validated. Unajua huku Rentz wamob wameloose control ya watoi wao teenagers coz well, ukimchapa unaenda ndani right? So madem teenagers huku wako club na place hawafai kuwa coz rentz wame give up nao.

Wewe na kiherehere chako unameet dem Job, club, ama college unaanza kumkatia. Unamtext story za mapenzi then next thing unajipata mechi na mumama kumbe ni mtoi wa 16yrs😂😂
Hapa ndio ngori inaanza. Bro ustake Jua! Huyu dem anaanza kukublackmail. Anakushow ukipiga job every week unampea like $500 ukikataa anakushow atakushtaki. Then hauezi kumdump itabidi ukue kipenzi kilazimishi.

Wewe unajua huku majuu kupiga mechi na dem ako 17yrs and below ni direct jela na deportation! Inabidi ukue slave wa huyu dem. Halafu huyu dem huwa na ma pimp wao. Boy black american anakam anakueka uoga. Anakuongelesha vizungu huelewi, anakuwasha vibare ka mbili hapo, lazima utatii na you stick to the plan😂😂

Kuna chali kutoka ghana ako Jela juu ya hii ngori. Aliamua amechoka na blackmail so dem akifika 21yrs akaamua aruke plan! Hizo text alikuwa akitumia huyo dem akiwa under age ndizo zilimletea ngori. Kumbe vile walikuwa wakipiga Mechi, Dem anamrecord na camera inakaa pen kumbe ni camera😳Mechini, Dem anadai, but you know am still in high school😩mechi imeiva chali anajibu call me teacher miss high school😳

Huku🇺🇸USA, Form ni ukipata Dem majuu, kabla ubonge kitu na yeye muitishe State ID yake! Usikubali college ID, coz hizo huwa wanafake. GenZ ukienda club, kula ngoma, kula hepi, kunywa pombe halafu rudi nyumbani! Shauri yako wewe😂 Diana Bahati Triza Mamake Muraya

🇰🇪HAKUNA SILAHA ITAKAYO INUKA BY SITATIMUSIC
05/28/2026

🇰🇪HAKUNA SILAHA ITAKAYO INUKA BY SITATIMUSIC

Hakuna Silaha Itakayo Inuka is a swahili gospel song sung by Sitatimusic To apply for hosting visit nafulaconnect.com.Related videos:How to Win ...

Getting the🇺🇸USA GREENCARD IN🇰🇪KENYA MEANS SELF DEPORTATION
05/27/2026

Getting the🇺🇸USA GREENCARD IN🇰🇪KENYA MEANS SELF DEPORTATION

Sending Kenyans in USA to Kenya to get Greencard means they will self deport if they do not get a waiver.To apply for hosting visit nafulaconnect.com.Related...

05/26/2026

🇰🇪Wakenya hata kwa🇺🇸wenyewe tunapenda hepi wueh😂Absolutely Nobody🤔Me and my sisters and brothers I host in New York!🤣🤣Hapa ni kabla sijaanza kunona tena🤦‍♀️

Kumenuka🇺🇸USA, Ustake Jua! 🤦‍♀️So wasee mnauliza kwanini wakenya tunaogopa kukam Kenya kuprocess greencard huko Kenyan e...
05/26/2026

Kumenuka🇺🇸USA, Ustake Jua! 🤦‍♀️So wasee mnauliza kwanini wakenya tunaogopa kukam Kenya kuprocess greencard huko Kenyan embassy, vile kasongo wa majuu anadai🤔

Rada ni hii,,,,,,wasee wengi almost 90% ya wakenya wako majuu wana apply Adjustment of Status especially through marriage waliviolate terms za visa zao. Tuseme walioverstay! Walimaliza shule na hawakuenda chuo ingine, walikam na visit visa na hawakurudi jamuhuri after 6 months, walikam na J1 exchange visa program ikaisha wakajikata etc.

Huku majuu ukioverstay for 180 days unakuwa banned from USA for 3 years. Ukioverstay for One year unakuwa 10 yrs banned from kukam USA.
So unaona hiyo mahesabu. Msee ame overstay one year halafu akakwachua ancestor Citizen aka apply greencard, the moment anakanyaga nje ya states bila greencard anakuwa banned from returning to USA for 10yrs.

Which means haezi apply greencard embassy ya Kenya until 10 yrs zimeisha. Ni noma mtu wangu! Thats why the new policy memo ya kuprocess greencard home country ni Ngori. Wasee wengi wakitoka hapa bila greencard kurudi itakuwa ngori. Hii ni mbinu tu ya kuchuja wasee kutoka huku. Huyu kasongo wa majuu si amejaa ngori wueh! Hapa ni maombi tu coz kuna ma beshte na familia ya wasee wako kwa AOS process sahii. Ni tafash bro✌️

Diana Bahati Triza Mamake Muraya

05/25/2026

Happy Memorial Day🙏

🇰🇪🇺🇸Greencard Holders Ngori tupu🤦‍♀️ Mkae mkijua mtakatazwa kuingia🇺🇸Majuu if you are from, Republic of the Congo, Ethio...
05/25/2026

🇰🇪🇺🇸Greencard Holders Ngori tupu🤦‍♀️ Mkae mkijua mtakatazwa kuingia🇺🇸Majuu if you are from, Republic of the Congo, Ethiopia, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania and Zambia due to EBOLA Outbreak.

Plan accordingly especially wale their visas ziko karibu kuexpire, DVwinners etc. This ni juu ya concern for public safety✌️Pic ni ya kuwaonyesha kitambi bado kiko ngangari kimesema hakiendi n’go😂😂✌️ Diana Bahati Triza Mamake Muraya

Address

New York, NY

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nafula Sharleen posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nafula Sharleen:

Share