Nasimz veterinary care

Nasimz veterinary care Mobile, door to door veterinary services. Specialized care for your pets and farm animals. WELLNESS i

Wishing you all a Blessed Happy Easter!
05/04/2026

Wishing you all a Blessed Happy Easter!


Swali hili tunaulizwa KILA SIKU! Na jibu siyo "mara moja" tu - linategemea mambo kadhaa:Kwa kawaida:🐶 Mbwa wa nyumbani: ...
31/03/2026

Swali hili tunaulizwa KILA SIKU! Na jibu siyo "mara moja" tu - linategemea mambo kadhaa:
Kwa kawaida:
🐶 Mbwa wa nyumbani: Kila wiki 1–2
🐶 Mbwa wa nje: Kila wiki 1
🐶 Wakati wa mvua: Ongeza uangalizi zaidi

Kuoga mara kwa mara husaidia:
✔ Kupunguza harufu
✔ Kuzuia kupe na viroboto
✔ Kulinda ngozi na manyoya

Lakini kumbuka — tumia NasimzVet Pet shampoo upate matokeo mazuri na kuimarisha ngozi ya Mbwa wako.

📍 Tembelea Nasimz Veterinary Care - Isamilo, Nyuma ya Mbijiwe Clinic
📞 Piga simu sasa: 0788 020800

Kuna chanjo nyingi, lakini hizi ni "Core Vaccines" ambazo kila mbwa lazima apate ili kuishi:Hizi ndizo chanjo muhimu:1️⃣...
31/03/2026

Kuna chanjo nyingi, lakini hizi ni "Core Vaccines" ambazo kila mbwa lazima apate ili kuishi:
Hizi ndizo chanjo muhimu:

1️⃣ Parvovirus:
Huua mbwa wengi Mwanza kwa kuhara damu.

2️⃣ Distemper:
Hushambulia mfumo wa neva na upumuaji.

3️⃣ Rabies (Kichaa cha Mbwa):
Ni hatari kwa mbwa na BINADAMU pia!

Je, mbwa wako amekamilisha chanjo hizi? Angalia kadi yake leo au tuandikie DM tukusaidie.
📍 Pata chanjo sahihi Nasimz Veterinary Care – Mwanza
📲 Wasiliana nasi leo: 0788 020800
Afya ya mbwa wako inaanza na kinga

Watoto wa mbwa wana kinga ndogo sana dhidi ya magonjwa ya mazingira. Usisubiri hadi aanze kuumwa au kukataa kula—kinga n...
30/03/2026

Watoto wa mbwa wana kinga ndogo sana dhidi ya magonjwa ya mazingira. Usisubiri hadi aanze kuumwa au kukataa kula—kinga ni bora kuliko tiba.

MASWALI 5 YA KUJIULIZA:
1️⃣ Je, mbwa wako mdogo amepata chanjo ZOTE tatu za DHPP?
2️⃣ Je, amepata chanjo ya kichaa (rabies)?
3️⃣ Je, una kadi ya chanjo yenye tarehe zote?
4️⃣ Je, unajua tarehe ya chanjo ya nyongeza inayofuata?
5️⃣ Je, amelindwa dhidi ya minyoo?

K**a majibu yako mengi ni hapana basi mbwa wako yupo kwenye hatarii zaidi.

Tuna kifurushi maalum cha "Puppy First Visit" hapa Nasimz kinachohusisha:
✅ Ukaguzi wa afya (Check-up).
✅ Chanjo za kwanza.
✅ Dawa za minyoo.

📍 Tembelea Nasimz Veterinary Care - Isamilo, Nyuma ya Mbijiwe Clinic
📞 Piga simu sasa: 0788 020800





Stop! 🛑Don’t use your shampoo on your dog!Did you know a dog’s skin is much more alkaline than human skin?◾Human Skin pH...
30/03/2026

Stop! 🛑
Don’t use your shampoo on your dog!

Did you know a dog’s skin is much more alkaline than human skin?
◾Human Skin pH: ~5.5 (Acidic)
◾Dog Skin pH: ~7.0 to 7.5 (Neutral)

Using human shampoo strips away the "Acid Mantle" of your dog’s skin, leaving them vulnerable to bacteria, parasites, and dry, itchy sores.

Always use a pH-balanced pet formula like NasimzVet Pet Shampoo.
Don’t risk your dog’s health over the wrong product.

Get the right shampoo at Nasimz Veterinary Care
📍 Tembelea Nasimz Veterinary Care - Isamilo, Nyuma ya Mbijiwe Clinic
📞 Call Us/WhatsApp: 0788 020800




Usiharakishe.Watu wengi huogesha watoto wa mbwa mapema sana, jambo ambalo linaweza kuwafanya wapate baridi au homa.Ushau...
29/03/2026

Usiharakishe.

Watu wengi huogesha watoto wa mbwa mapema sana, jambo ambalo linaweza kuwafanya wapate baridi au homa.

Ushauri wa Kitaalamu:
✔ Subiri hadi afikishe angalau wiki 6–8
✔ Hakikisha hana baridi au udhaifu
✔ Tumia maji ya uvuguvugu na shampoo maalum (Nasimz Vet Pet Shampoo)

K**a huna uhakika, uliza mtaalamu.
📍 Tembelea Nasimz Veterinary Care - Isamilo, Nyuma ya Mbijiwe Clinic
📞 Piga simu sasa: 0788 020800






Why does NasimzVet Shampoo work so well? It’s all in the science. We didn't just make a soap; we created a medical-grade...
29/03/2026

Why does NasimzVet Shampoo work so well? It’s all in the science.

We didn't just make a soap; we created a medical-grade skin solution.
Antimicrobial Properties:
Kills harmful bacteria on the skin surface.

Anti-inflammatory:
Soothes redness and swelling from insect bites.

Non-Toxic Policy:
We use ZERO harsh pesticides, making it safe even if your dog has sensitive skin.

Just safe, effective protection for your pet.

Available now at our Mwanza clinic and All Shoppers Supermarket Outlets
Dar es salaam, Arusha, Mwanza and Dodoma

📍 Tembelea Nasimz Veterinary Care - Isamilo, Nyuma ya Mbijiwe Clinic
📞 Piga simu sasa: 0788 020800






27/03/2026

Ifahamu Nasimz Veterinary Clinic!

24/03/2026

Mbwa k**a huyu wengi wangemkatia tamaa…

Lakini ukweli ni huu:
Wanyama wengi hawafi kwa sababu hawawezi kupona…
wanakufa kwa sababu wanakosa msaada.

Huyu alipata nafasi.
Na leo… yuko hai.

Usikate tamaa mapema.
Mnyama wako anaweza kupona.

📍 Tembelea Nasimz Veterinary Care - Isamilo, Nyuma ya Mbijiwe Clinic
📞 Piga simu sasa: 0788 020800





May the discipline and devotion of the past month bloom into a year of success and serenity. From our team to your famil...
20/03/2026

May the discipline and devotion of the past month bloom into a year of success and serenity.

From our team to your family, Eid Mubarak.

❤️

Address

Isamilo. Behind Mbijiwe And Near The Joint
Mwanza

Opening Hours

Monday 09:30 - 16:00
Tuesday 09:30 - 16:00
Wednesday 09:30 - 16:00
Thursday 09:30 - 16:00
Friday 09:30 - 16:00
Saturday 09:30 - 14:00

Telephone

+255788020800

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nasimz veterinary care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nasimz veterinary care:

Share