10/11/2019
Tumerudi tena soon as tutafungua ofis zetu zitakazokua maeneo ya White Hous karibu na Super Tech..Morogoro
Sasa hivi tuna style mpya ya furniture ambayo ni rahis na haitumii gharama nyingi
Inafaa kwa bustani, bar, hotel hata kwa sebleni k**a itakupendeza
Kwa maelezo zaidi tucheki 0716161006
Share kwa watu wengi ili waone jins tunavyofanya...