Tawfiq Mobile Services- TMS's

Tawfiq Mobile Services- TMS's Tawfiq Mobile Stationery- TMS's is the company that deals with the some of the services like researc

  baadhi ya watu waliokusaidia hapo awali kwa sababu ya tofauti za sasa, ikiwa watu hawa hawana faida tena kwako, lakini...
21/02/2024

baadhi ya watu waliokusaidia hapo awali kwa sababu ya tofauti za sasa, ikiwa watu hawa hawana faida tena kwako, lakini heshimu siku ambazo wamekuwa wakikusaidia.

Katika maisha jifunze kusambaza upendo kila mahali unapokwenda na kwa kila unaekutana nae pia Usiruhusu mtu yeyote aje k...
09/11/2023

Katika maisha jifunze kusambaza upendo kila mahali unapokwenda na kwa kila unaekutana nae pia Usiruhusu mtu yeyote aje kwako bila kukufanya uwe na furaha na anaondoke akiwa na furaha pia hii inasaidia kuondoa chuki baina ya mtu na mtu....

if Life is a song-sing it, if Life is a game - play it, if Life is a challenge - meet it, if  Life is a dream - realize ...
06/08/2023

if Life is a song-sing it, if Life is a game - play it, if Life is a challenge - meet it, if Life is a dream - realize it, if Life is a sacrifice - offer it and if Life is love just enjoy it.

  Pesa ina thamani sana sio kwa kile unachoweza kununua kwa kutumia pesa hiyo, lakini kwa jinsi inavyoweza kubadilisha m...
28/07/2023



Pesa ina thamani sana sio kwa kile unachoweza kununua kwa kutumia pesa hiyo, lakini kwa jinsi inavyoweza kubadilisha maisha ya mtu katika jamii, kwa watu wengine 10,000 hawawezi kutosha hata kuwa na manicure. lakini kwa watu wengine inaweza kuokoa na kuendesha maisha, Kwa hivyo, usichukulie pesa yoyote k**a kipande cha karatasi ama kipande cha chuma k**a kinavyoonekana katika macho ya kawaida. Hivyobasi tujifunze kuipa thamani pesa hata k**a ina uchache kiasi gani..


Omba, lakini usiache kupiga makasia ufukweni. - Mithali ya Kirusi.
29/03/2023

Omba, lakini usiache kupiga makasia ufukweni. - Mithali ya Kirusi.

Anapowezeshwa mtoto wa k**e kijamii,kiuchumi na kisiasa Kuna manufaa kubwa sana kwa upande wake na jamii nzima inayomzun...
08/03/2023

Anapowezeshwa mtoto wa k**e kijamii,kiuchumi na kisiasa Kuna manufaa kubwa sana kwa upande wake na jamii nzima inayomzunguka.
Tujitahidi kuwapa nafasi zao stahiki bila kuwabagua katika nyanja zote za maendeleo.

12/02/2023

Hakuna uwekezaji wenye faida na manufaa makubwa k**a uwekezaji wa katika elimu,, maana huwapa watu maarifa ambayo yatawa...
24/01/2023

Hakuna uwekezaji wenye faida na manufaa makubwa k**a uwekezaji wa katika elimu,, maana huwapa watu maarifa ambayo yatawafaa katika kuzijenga familia zao na jamii kwa ujumla katika nyanja zote k**a vile kisiasa, kijamii pamoja na kiuchumi, hivyo tuongeze nguvu kubwa katika elimu ili kuzikomboa jamii zetu..



📷 by

Katika maisha ya wanadamu Kuna mafunzo mengi sana tunayapitia kila iitwayo leo ili kuzidi kuwafahamu na kuepuka kuingia ...
11/01/2023

Katika maisha ya wanadamu Kuna mafunzo mengi sana tunayapitia kila iitwayo leo ili kuzidi kuwafahamu na kuepuka kuingia katika migogoro maana Tabia ya wanadamu wanaweza kusahau ulichosema juu yao, ulichowafanyia, lakini hawatasahau ulivyowafanya wahisi uwepo wako kuwa ni wenye manufaa kwao,, hvyo yatupasa kuwa na uelewa mkubwa juu yao....

10/11/2022

THE VOICE OF HALAL FESTIVAL
2022-2023

Assalaam Alaikum Warahmatullah Taala Wabarakaatuh.
Ndugu waislamu HURAIRAH CLASSIC imeandaa THE VOICE OF HALAL FESTIVAL ili kuupa burudani ummat Muhammad S.A.W..
Ndugu waislam hauna haja ya kwenda Maclub kwa ajili ya kupata burudani hivyo basi, sisi tumekuandalia Mtoko Wenye manufaa kwako na familia yako, Sauti zenye mamlaka zitarindima kutokea SERENA HOTEL iliyopo Jijini Dar es salaam

GATE PASS Ndiyo Mpango Mzimaa
itakuwezesha kushiriki kwenye matukio yetu yote Kwa Gharama Ile Ile ya Shilingi
100,000/= Ya kitanzania

lipia kupitia LIPA NAMBA

9213277 > HURAIRAH CLASSIC TZ

Mwisho wa Malipo haya ni
1/12/2022

Ahsante Kwa kushirikiana nasi

-2023


Kwa maelezo zaidi - 0716 556 595

Sponsored by


drinks.tz





Unapotaka kujifunza kupitia watu waliofanikiwa unatakiwa kuangalia mambo mengi ambayo yatakufunza ili kufikia malengo ya...
04/10/2022

Unapotaka kujifunza kupitia watu waliofanikiwa unatakiwa kuangalia mambo mengi ambayo yatakufunza ili kufikia malengo yako, mambo hayo k**a vile;

1) Jinsi wanavyopambana kufikia malengo.
2) Mafanikio waliyonayo kupitia mapambano yao.
3) Msaada wao katika jamii...

NB:
Kamwe usiangalie Tabia zao, maana ukitaka kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa yakupasa kuweka tabia zao pemben vinginevyo hutopata watu wakuchukuwa mafunzo yao..

MUONEKANO::"Muonekano unaweza kukupa fursa au kukunyima. Muonekano unaweza kukupa kibali au kukipoteza, muonekano unawez...
12/09/2022

MUONEKANO::

"Muonekano unaweza kukupa fursa au kukunyima. Muonekano unaweza kukupa kibali au kukipoteza, muonekano unaweza kukufanya ukapendwa au kuchukiwa. Muonekano unaweza kukupa kazi au ukafeli interview. Muonekano una nguvu ya kubadilisha mambo, jitahidi sana kutunza muonekano wako"...

Address

Mbeya

Telephone

255657908285

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tawfiq Mobile Services- TMS's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share