20/02/2023
L-shape sofa ni simple sofa na ni nzuri sana
materia yake ni haya๐
Mbao๐ hard wood
Kitambaa ๐ni valvet ni kizuri na hakishiki uchafu haraka na kinaweza kusafishika vizuri
Rangi ya kitambaa unachagua ww mteja๐
Mito ๐ tunatumia sheet na godoro za dodoma foam zinadumu kwa mrefu
pia seat zina fiber na springโ
hii inasaidia kuipa sofa mneso mzuri na uimara wa sofa
Bei ni laki 7 na elfu 40
Tunapatikana keko furniture mkabala na mwendokasi mpya
mawasiliano 0755049457 & 0683058291
karibuni sana mpate kilicho bora kwa uwaminifu Mkubwa tunajali kazi na muda ๐๐...