Team Kazi Brand Furnitures Tz.

Team Kazi Brand Furnitures Tz. Tunakuunganisha na mafundi bora wa furniture hapa Tanzania. Tunatoa sofas, meza, cabinets, na furniture zilizoundwa kwa mahitaji yako.

Tuma ujumbe sasa kupata makisio ya bei bila malipo.”

Kutoka kawaida ➝ mpaka kisasa 🔥Hii ndio tofauti ya mpangilio sahihi wa furniture.Ungependa sebule/ chumba chako kionekan...
24/02/2026

Kutoka kawaida ➝ mpaka kisasa 🔥
Hii ndio tofauti ya mpangilio sahihi wa furniture.

Ungependa sebule/ chumba chako kionekane hivi?
Nitumie “NATAKA” DM nikuonyeshe options.

📍Dar es Salaam
Tunatengeneza kwa oda (size na rangi unachagua mwenyewe)

KABATI LA MILANGO 3 LINAPATIKANA 😊Tunatengeneza makabati imara kwa mbao ngumu yenye finishing safi sana.✔ Ndani kuna seh...
23/02/2026

KABATI LA MILANGO 3 LINAPATIKANA 😊

Tunatengeneza makabati imara kwa mbao ngumu yenye finishing safi sana.

✔ Ndani kuna sehemu ya kutundika nguo
✔ Pia lina shelves za kupanga nguo vizuri
✔ Rangi unachagua mwenyewe

Tunapokea oda kwa vipimo vya chumba chako.

Kwa maelezo zaidi tuandikie inbox 📩

KABATI LA NGUO – MILANGO MIWILI 🪵Inafaa kwa vyumba vya apartment au nyumba za kawaida.Lina nafasi ya kutundika nguo pamo...
22/02/2026

KABATI LA NGUO – MILANGO MIWILI 🪵

Inafaa kwa vyumba vya apartment au nyumba za kawaida.
Lina nafasi ya kutundika nguo pamoja na shelves za kupanga.

✔ Tunatengeneza kwa order
✔ Unachagua rangi unayotaka
✔ Delivery ndani ya Dar es Salaam ipo

Bei na maelezo zaidi → Tuma ujumbe Inbox au WhatsApp.

21/02/2026

�� Before & After – Vitanda & Makabati vya Kisasa ��
Unatafuta furniture ya ubora kwa chumba chako?
Tunatengeneza vitanda na makabati vya kisasa kwa oda, kwa mbao imara na finishing safi.
� Sizes zote zinapatikana
� Tunapokea design unayotaka
� Delivery ndani ya Dar es Salaam
� Tuma message au WhatsApp sasa uone catalogue na bei!

21/02/2026

With Matambwe Classic furniture – I just got recognized as one of their top fans!

Watu wengi wanafikiri chumba kuwa kidogo ni tatizo…Lakini mara nyingi tatizo ni mpangilio wa samani 😌Kwa mfano: • Kitand...
19/02/2026

Watu wengi wanafikiri chumba kuwa kidogo ni tatizo…
Lakini mara nyingi tatizo ni mpangilio wa samani 😌

Kwa mfano: • Kitanda kikubwa sana • Furniture nyingi • Kukosa kioo ukutani

Hivyo hufanya chumba kionekane kimebanwa hata k**a kina nafasi.

Ukipata nafasi, ungependa chumba chako kiwe na muonekano wa kisasa au wa kawaida?

Tuambie kwenye comments 👇 Team Kazi Brand Furnitures tuko hapa kukushauri bure.

Kitchen cabinets za kisasa kabisa 🔥🔥..Boss wangu ukihitaji makabati ya kujengea ya jikoni kwako nipe kaz boss wangu..Una...
17/02/2026

Kitchen cabinets za kisasa kabisa 🔥🔥..
Boss wangu ukihitaji makabati ya kujengea ya jikoni kwako nipe kaz boss wangu..
Unaona izo kabati zinavyo ng'aaaa izo ni stika boss wangu unafuta tu na azpauki..
Pia hazbanduki kiurahisi labda uchune kwa kisu maksudi..

Boss wangu utachagua ww utataka stika km hivyo au utataka rangi au utataka furniture board..
Tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz
0614480536

Karibu mteja wetu. Mali Safi k**a hizi zinapatikana kwetu kwa bei nafuu.   WhatsApp no :0614480536
17/02/2026

Karibu mteja wetu. Mali Safi k**a hizi zinapatikana kwetu kwa bei nafuu.
WhatsApp no :0614480536

Tunatengeneza milango ya mbao ngumu na imara. Kwa mawasiliano zaidi tuchekuki no: 0614480536
16/02/2026

Tunatengeneza milango ya mbao ngumu na imara. Kwa mawasiliano zaidi tuchekuki no: 0614480536

TUPO KWA AJILI YAKO MTEJA      > Tunatengeneza furniture za aina zote kwa gharama nafuu.   > Tunapatikana msongola, Tenk...
16/02/2026

TUPO KWA AJILI YAKO MTEJA

> Tunatengeneza furniture za aina zote kwa gharama nafuu.
> Tunapatikana msongola, Tenki la maji Njia ya kwenda kitonga.

Kwa mawasiliano zaidi:
WhatsApp no: 0614480536
Kupiga: 0614480536

"Mteja tupe picha tu, mengine tuachie sisi"

Address

Msongola
Ilala

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Team Kazi Brand Furnitures Tz. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share