Dodoma black furniture

Dodoma black furniture Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dodoma black furniture, Furniture repair & upholstery service, Dodoma Outlying.

145k free delivery 0622-609-885
09/04/2026

145k free delivery
0622-609-885

🐣 OFa KALI YA PASAKA – BLACK FURNITURE 🐣Pasaka hii usikose kubadilisha muonekano wa nyumba yako kwa bei tamu sana!Tunato...
28/03/2026

🐣 OFa KALI YA PASAKA – BLACK FURNITURE 🐣
Pasaka hii usikose kubadilisha muonekano wa nyumba yako kwa bei tamu sana!
Tunatoa punguzo maalum la Pasaka kwa samani zetu bora na za kisasa.
✔ Kabati nzuri
✔ Vitanda imara
✔ Meza na sofa za kisasa
✔ Ubora wa hali ya juu kwa bei ya kushangaza
Fanya Pasaka yako iwe ya kipekee kwa samani mpya ✨
📩 Wasiliana nasi sasa kabla ofa haijaisha!
BLACK FURNITURE – Ubora unaoonekana 🔥
Bonyeza kitufe cha whatsapp au nichek 0622-609-885 AU 0679-609-885

🔥🐣 OFA KUBWA YA PASAKA – BLACK FURNITURE 🐣🔥Pasaka hii usiache nyumba yako ibaki kawaida!Huu ndio wakati wa kununua saman...
24/03/2026

🔥🐣 OFA KUBWA YA PASAKA – BLACK FURNITURE 🐣🔥
Pasaka hii usiache nyumba yako ibaki kawaida!
Huu ndio wakati wa kununua samani kali kwa bei ya ofa kali zaidi kuliko kawaida.
✨ Kabati za kisasa zinazoonekana kifahari
✨ Vitanda imara vinavyodumu miaka mingi
✨ Meza na sofa zenye muonekano wa kisasa
✨ Bei imeshuka sana kwa muda mfupi wa Pasaka
Ukichelewa utajilaumu mwenyewe 😮‍🔥
Wateja wengi tayari wanachukua – usibaki nyuma!
📲 Tuma ujumbe sasa uone bei na picha za samani
BLACK FURNITURE – Ubora, Urembo na Bei Kali! 🔥
0679-609-885 AU 0622-609-885

✅️EID AL-FITR SPECIAL OFFER 🌙✳️Furahia sikukuu ya Eid al-Fitr kwa kuboresha nyumba yako❇️na BLACK FURNITURE 🏡✅️ Sofa za ...
18/03/2026

✅️EID AL-FITR SPECIAL OFFER 🌙✳️
Furahia sikukuu ya Eid al-Fitr kwa kuboresha nyumba yako❇️
na BLACK FURNITURE 🏡
✅️ Sofa za kisasa🟩
✅️ Meza na vitanda vya sofa vya kisasa🟩
✅️ Tunatoa huduma ya kupanga mpangilio wa ndani (Interior arrangement)🟩
👉 Bei zimeshushwa kwa muda maalum wa Eid!
wasliana nasi sasa 0679-609-885 AU 0622-609-885 Tupo dodoma mipango karibu saana 🇹🇿

✅️FURNITURE BORA KWA MATUMIZI YA NDANI KWAKO ✅️BADILISHA MUONEKANO WA NDANI KWAKO ✅️PIGA 0679-609-885 AU 0622-609-885 TU...
11/03/2026

✅️FURNITURE BORA KWA MATUMIZI YA NDANI KWAKO
✅️BADILISHA MUONEKANO WA NDANI KWAKO
✅️PIGA 0679-609-885 AU 0622-609-885 TUNAPATIKANA DODOMA MIPANGO KARIBU SAANA ✅️

Habari Dodoma black furniture tumewaandalia ofa maalumu katika musimu huu wa   pamoja na    tunawakaribisha ofisini kwet...
10/03/2026

Habari Dodoma black furniture tumewaandalia ofa maalumu katika musimu huu wa pamoja na tunawakaribisha ofisini kwetu bonyeza kitufe cha whatsapp hapo chini au nitafute 0622-609-885 tunakuhudumia kwa wakati

OFAAAAA YA FURNITURE HII NI OFAAAAA YA   JIPATIE FURNITURE ZA KISAASA ZENYE MUONEKANO MZURI TUNAUZA KWA BEII YA JUMLA NA...
06/03/2026

OFAAAAA YA FURNITURE HII NI OFAAAAA YA
JIPATIE FURNITURE ZA KISAASA ZENYE MUONEKANO MZURI TUNAUZA KWA BEII YA JUMLA NA LEJALEJA PIGA 0679-609-885 AU 0622-609-885 AU BONYEDHA KITUFE CHA WASAP HAPO CHINI🙏🙏🙏👌👌🙌🫡🫡

Mali zinazo faa kwenye mipangilio ya ndani kwako ✅️vitanda imara vyenye muonekano mzuri ✅️sofa quality zenye kuvutia ✅️K...
03/03/2026

Mali zinazo faa kwenye mipangilio ya ndani kwako
✅️vitanda imara vyenye muonekano mzuri
✅️sofa quality zenye kuvutia
✅️Kabati zenye finishing nzuri YA kuvutia
✅️kitchen cabinet za kisaasa zinazo endan na ndani kwako
Na vingine vingi saana piga 🔥0679-609-885 AU🔥 0622-609-885
Tunapatikana dodoma mipango karibu saana

Karibu black furniture  ujipatie furniture za kisaasa zinazo faa ndani kwako tunahakikisha kazi zetu zinapata finishing ...
02/03/2026

Karibu black furniture ujipatie furniture za kisaasa zinazo faa ndani kwako tunahakikisha kazi zetu zinapata finishing ya uhakika piga 0679-609-885 AU 0622-609-885 TUNAPATIKANA DODOMA MIPANGO KARIBU SAANA bossi wangu

FURNITURE BORA NYUMBANI KWAKO badilisha muonekano wa ndani kwako kwa kuzingatia bidhaa bora na imara  kwa bei rahisi saa...
23/02/2026

FURNITURE BORA NYUMBANI KWAKO
badilisha muonekano wa ndani kwako kwa kuzingatia bidhaa bora na imara kwa bei rahisi saana piga 0679-609-885 AU 0622-609-885 TUNAPATIKANA DODOMA MIPANGO KARIBU SAANA

    OFAAAAA   KABATI MILANGO MIWILI 250K KABATI MILANGO MITATU 350K USAFIRI NI BUREEE PIGA 0622-609-885 AU 0679-609-885 ...
21/02/2026

OFAAAAA KABATI MILANGO MIWILI 250K KABATI MILANGO MITATU 350K USAFIRI NI BUREEE PIGA 0622-609-885 AU 0679-609-885 TUNAKULETEA POPOTE ULIPO NDANI YA DODOMA MJINI

✅️hellow matajili LEO kuna OFA za WECKEND ✅️hizi ni special kwa WECKEND tu ✅️usikose piga 0622-609-885 AU 0679-609-885 ✅...
20/02/2026

✅️hellow matajili LEO kuna OFA za WECKEND
✅️hizi ni special kwa WECKEND tu
✅️usikose piga 0622-609-885 AU 0679-609-885
✅️tunafanya delivery bure ndani ya dodoma mjini
✅️pia tunasafirisha mikoa yote ya tanzania kwa nauli ya mteja wahi sasa tunawapenda saana .

Address

Dodoma Outlying

Telephone

+255679609885

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dodoma black furniture posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share