classic Comfort Furniture DSM

classic Comfort Furniture DSM Classic Comfort Furniture DSM
Tunatengeneza sofa, vitanda vya mbao na makabati ya kisasa kwa bei nafu

18/04/2026
SOFA SET YA KISASA L-SHAPE 😍πŸ”₯Unatafuta sofa ya kisasa yenye muonekano wa kifahari na comfort ya hali ya juu? Hii hapa im...
28/03/2026

SOFA SET YA KISASA L-SHAPE 😍πŸ”₯
Unatafuta sofa ya kisasa yenye muonekano wa kifahari na comfort ya hali ya juu? Hii hapa imekufaa kabisa!
Imetengenezwa kwa ustadi mkubwa, ikiwa na sponge imara, kitambaa laini kinachovutia na muundo wa kisasa wa kuvutia macho πŸ‘Œ
βœ”οΈ Inakuja na sehemu ya kukaa kwa familia nzima
βœ”οΈ Ina sehemu za kuweka vitu (side trays) kwa urahisi zaidi
βœ”οΈ Muundo wa kisasa unaobadilisha kabisa muonekano wa sebule yako
βœ”οΈ Inafaa kwa nyumba za kisasa na ofisi
πŸ’― Tunapokea oda kulingana na rangi unayotaka
πŸ“¦ Tunasambaza hadi ulipo
πŸ“² Wahi kuagiza sasa kuepuka kuchelewa!
πŸ“ CLASSIC COMFORT FURNITURE – DAR ES SALAAM

Address

Ubungo Kibo Kalibu Na Mskitini
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when classic Comfort Furniture DSM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category