Nyota mattress Hub

Nyota mattress Hub magodoro bora Tunaleta hadi nyumbani Dar na mikoani. Tunakutumia picha ya mzigo jina la dereva kabla ya kusafirisha.
☎️Wasiliana 0760729209
(1)

Kwa Wateja wa Mikoan 🇹🇿
Tunatuma mzigo mikoa yote kwa usafir wa uhakika
Hulip kabla Unalipa mzigo ukifika.

06/12/2025

"LALA KIFALME
Magodoro ORIGINAL kutoka Kiwandani sasa yapo kwa bei nafuu kabisa!

(ubora wa hali ya juu)

Tunaleta hadi mlangoni popote Dar!
0760792616
Zawadi ni mito miwili au net
Malipo ni baada ya kupokea usafiri bure,na huduma ya haraka

Bofya hapa chini kuagiza moja kwa moja WhatsApp – usikose ofa ya wiki hii!"

29/11/2025

Je, unajua usingizi bora ni siri ya afya njema? Godoro letu lina msaada wa hali ya juu kwa mgongo – linapunguza maumivu na uchovu. Chagua ubora wa kulala bila bughudha! Agiza leo upate *delivery bure* popote ulipo, piga leo 0760792616

🛏️ karibu  Nyota Matttress Hub– Ubora wa Kudumu kwa Bei Rafiki!**📏 Size: 5x6*  • 6" ➤ *170,000 TZS*  • 8" ➤ *190,000 TZS...
21/09/2025

🛏️ karibu Nyota Matttress Hub– Ubora wa Kudumu kwa Bei Rafiki!*

*📏 Size: 5x6*
• 6" ➤ *170,000 TZS*
• 8" ➤ *190,000 TZS*
• 10" ➤ *240,000 TZS*
• 12" ➤ *280,000 TZS*

*📏 Size: 6x6*
• 8" ➤ *230,000 TZS*
• 10" ➤ *270,000 TZS*
• 12" ➤ *310,000 TZS*

🚚 *Usafiri BURE popote ndani ya Dar es Salaam!*
📞 *Piga sasa:* 0760 729 209

17/09/2025
📍 MIKOANI – Kwa Wateja Wetu Wote Tanzania 🇹🇿*Tunatuma magodoro kwa mikoa yote Tanzania kupitia *agents waliothibitishwa ...
17/09/2025

📍 MIKOANI – Kwa Wateja Wetu Wote Tanzania 🇹🇿*

Tunatuma magodoro kwa mikoa yote Tanzania kupitia *agents waliothibitishwa na waaminifu.*

✅ *Hutalipa kabla ya mzigo kufika!*
Utalipa *pale pale* mzigo unavyokufikia – salama na kwa uaminifu.

📦 *Hatua Rahisi za Kupata Godoro Lako:*

1. Chagua godoro (size & inch) unalotaka.
2. Tuma taarifa zako: *Jina, Mji/Mkoa, Namba ya simu, Kituo cha kupokea mzigo.*
3. Tunakutumia picha ya mzigo, risiti, na jina/namba ya dereva au agent.
4. Mzigo unapokufikia, *unalipa ndipo unachukua.*

🚛 *Usafiri ni salama, wa kuaminika na unadhibitiwa.*

*🤝 MAELEKEZO KWA AGENTS:*
- Mzigo unakabidhiwa kwa mteja *BAADA ya malipo kamili.*
- Malipo yanatumwa kwetu moja kwa moja au kwa njia tuliyokubaliana.

-🛏️ *Nunua kwa amani, lipa kwa uaminifu. Tunakuletea hadi ulipo!*

Address

Dar Es Salam
Dar Es Salaam
12101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyota mattress Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category