13/02/2026
Kila biashara kubwa ilianza mahali.
Hii ndiyo delivery yetu ya kwanza.
Asante kwa wote wanaoendelea kutuamini.
📍Tupo Dar es Salaam
Magodoro size zote yanapatikana
Kuagiza tu - Dm Whatsapp
(Link ipo kwenye bio)