04/06/2026
Habari njema kwa wakazi wa Makambako na maeneo ya jirani
Marie Stopes Makambako inakuletea huduma za Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake.
Tupo wazi kuanzia Jumatatu hadi Jumapili, Saa 2 Asubuhi hadi Saa 11 Jioni.
Tunapatikana: Mtaa wa Kahawa, Mkabala na DS Hotel.
Kuweka miadi au kupata maelezo zaidi, wasiliana nasi kwa:
๐ ๐๐ข๐ ๐ ๐๐ฎ๐ซ๐: ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
๐ฑ ๐๐ก๐๐ญ๐ฌ๐๐ฉ๐ฉ: ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
#๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.