26/12/2018
Unapotumia SimAccount kulipia Ankara au kulipa bidhaa mbalimbali msimu huu wa sikukuu unajiongezea nafasi za kujishindia kwenye droo ya Shinda na SimAccount ambayo tunaichezesha kila Alhamis
Swali ni je Umejisajili?
Umekamilisha Usajili wako?
K**a bado Piga *150*62 # Sasa
Simu yako, Akaunti Yako