Aku Furniture Tz

Aku Furniture Tz WABOBEZI KATIKA UTENGENEZAJI WA SAMANI (FURNITURES) ZA MAJUMBANI NA MAOFISINI ZA AINA ZOTE.

12/05/2026

Kitchen Cabinet nzuri ya kisasa na imara sana.
Mbao yenye uwezo wa kustahimili maji bila kubadilika muonekano au kuoza.
Piga simu Moja tuje kukuhudumia.

AKU never Disapoint
AKU furniture
Beyond furnitures πŸ”₯

05/05/2026

Bado tunaendelea na ofa yetu simu Moja tu πŸ“ž

na tuna kuthamini mteja wetu ndio maana hatuuzi Samani tu bali tunauza amani ya kudumu hii si yakukosa boss wangu.

Aku furniture # never Disapoint

Aku furniture beyond furnitures πŸ’―

29/04/2026

Modern Sofa Set from .
πŸ‘‡
anaweza kufanya Nyumba yako iwe ya kisasa zaidi na yathamani.
Penda muonekano wa Nyumba yako kwa sababu una aakisi hata muonekano wako.
Sofa ya kiksasa na wewe itakua wa kisasa😊🀝

Tupigie tubadili Nyumba yako πŸ“ž
+255 628 632 031
Tunapatikana Mabibo mwisho Dar es salaam (Ubungo)

Karibu sana
Aku never Disapoint
Aku furniture
beyond furniture

29/04/2026

Kitchen Cabinet and Cupboards with kitchen Island 🏠

Hii inapendezesha Jiko lako pia inaongeza thamani kwenye Nyumba.(Nyumba kua na Muonekano mzuri,Bora na Wakuvutia) Lakini si hivyo tu Bali Mpangilio Bora wa Nyumba na Vitu vyako vya Jikoni)

πŸ“ž Mawasiliano +255 628 632 031

Tunapatikana Dar es salaam -ubungo
Mabibo mwisho





Aku never Disapoint
Aku furniture
Beyond furnitures

29/04/2026

Kitchen Cabinet and Cupboards with kitchen Island 🀝
Thamini Nyumba yako thamini na Jiko lako.
(Ipende Nyumba yako na ipe thamani ambayo inatolewa na
we do beyond furniture

Huduma hio Inapatikana Ofisini kwetu.
Dar es salaam -Ubungo, Mabibo mwisho
Tupigie +255 628 632 031

Aku never Disapoint πŸ’―
Aku furniture
beyond furnitures πŸ”₯


Fanya Nyumba yako ipendeze na MNINGA DINING TABLE  yakisasa na yenye ubaro wa Hali ya juuπŸ’ͺIpo Tayari imekamilika (Viti S...
20/04/2026

Fanya Nyumba yako ipendeze na MNINGA DINING TABLE yakisasa na yenye ubaro wa Hali ya juuπŸ’ͺ
Ipo Tayari imekamilika (Viti SITA 2,500,000=Tsh).
Zipo za design mbalimbali kulingana na Hitaji lako.

Piga simu πŸ“ž +255 628 632 031 au 0758 612 131

Tunapatikana Mabibo mwisho Dar es salaam ubungo -Mabibo mwisho
Hatuja ishia hapo tuu tunatuma mikoa yote Tanzania bara na Visiwani pamoja na Nchi za Jirani kwa utaratibu mzuri na uaminifu mkubwa sana.

Just
never Disapoint.

18/04/2026

Je Unahitaji kuhifadhi vitu vyako katika Hali Hali nzuri?
Basi MDF MELAMINE CHEST DRAWER inaweza kufanya Kazi hio πŸ™‚ πŸ—„οΈπŸ—„οΈ
Pia ikaleta thamani na mvuto Ndani kwako.

Tupigie simu πŸ“ž. 0628632031
0758612131

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Tupo Mabibo mwisho Dar es salaam ubungo.
Tunatuma mikoa yote Tanzania bara na Visiwani pamoja na Nchi za Jirani kwa utaratibu mzuri na uaminifu mkubwa sana.
Tupigie simu utupe Oda yako sasa πŸ“žπŸ€

never Disapoint beyond furnitures 🫱🫲

04/03/2026
04/03/2026
04/03/2026

NATENGENEZA KWA ODA TU (NICHES).

SPECIAL OFFA KWA MWEZI MTUKUFU HUU.

2,800,000/= kwa sofa Za Slide 1,3,4 na 5

Slide ya Pili Offa yake ni 3,500,000/= kwa set ya sofa.

Oda inakamilika ndani ya siku 14 tu za kazi.

Sitting na Dining room set hizi za kimataifa,
Ukihitaji full unapata na ukihitaja sofa pekee unapata pia ukihitaji Dining set pekee unapata.

Tunapatikana Mabibo mwisho Dar es salaaam Katikati ya SOKENI POLYCLINIC na TEXAZ CAR WASH.

TUNATUMA MIKOA YOTE TANZANIA BARA NA VISIWANI PAMOJA NA NCHI ZA JIRANI KWA UTARATIBU MZURI NA UAMINIFU MKUBWA SANA. PIA KWA KAZI ZA KUJA SITE ZA MIKOANI TUNAKUJA NA KUFANYA KAZI YAKO KWA BUDGET NDOGO SANA.

AKU NEVER DISAPOINT

KARIBU SANA.

Wasiliana nasi.
0628632031
0758612131

Address

Mabibo Mwisho, Ubungo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 22:00
Tuesday 08:00 - 22:00
Wednesday 08:00 - 22:00
Thursday 08:00 - 22:00
Friday 08:00 - 22:00
Saturday 08:00 - 22:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aku Furniture Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share