30/04/2026
Rome kitchen furniture tunafanya kazi kwa vipimo yani kwa jikoni,
Makabati ya juu ni 500,000Tsh kwa mita moja
Makabati ya chini ni 550,000Tsh kwa mita moja
Granite inaanzia 290,000Tsh kwa mita moja
HII NI KWA MATERIALS (MDF) ZA SHINE AU MATTE
PIA
Makabati ya juu ni 600,000Tsh kwa mita moja
Makabati ya chini ni 650,000Tsh kwa mita moja
Granite inaanzia 290,000Tsh kwa mita moja
HII NI KWA MATERIAL (MDF) ZA HIGH GLOSS.