07/04/2021
KARIBUNI SANA APLUS CLEANING COMPANY; kwa mahitaji ya usafi wa masofa ya nyumbani na ofisini kwako, usafi wa nyumba kwa ujumla. Tunasafisha kwa makini na kuacha nyumba yako ikiwa katika hali ya usafi na utulivu.
WASILIANA NASI KUPITIA 0714:061906 ofisi zetu zipo Sinza kumekucha karibuni sana sana sana
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuishi katika mazingira masafi, mazingira masafi yanakupa nafasi yakuweza kutuliza akili na kutafakari na kupambanua mambo kwa umakini na utashi mkubwa zaidi.
Ipende Nyumba yako kwa kuitunza kwa usafi wa hali ya juu. Na sisi Aplus tunatambua kuwa mteja anakuwa busy sana na shughuli za kila siku na ndo maana tupo kwaajili ya kuhakikisha unaporudi nyumbani au unapoingia ofisini kwako mazingira unayakuta masafiii kabisa.
# usafiwanyumba . # # # #