onestopfurnituretz

  • Home
  • onestopfurnituretz

onestopfurnituretz watenngenezaji wa samani za kisasa kwa kutumia mbao asilia na za viwandani.

Coffee table iliyotengenezwa kwa pinewood. Tsh.400,000/=
03/08/2022

Coffee table iliyotengenezwa kwa pinewood. Tsh.400,000/=

Meza na viti (dinning set), imetengenezwa kwa mbao ngumu ya mtiki na kufanyiwa finishing ya mat clear. Set hii inatengen...
03/08/2022

Meza na viti (dinning set), imetengenezwa kwa mbao ngumu ya mtiki na kufanyiwa finishing ya mat clear.
Set hii inatengenezwa ofisini kwetu kwa sh. 1,500,000/=

Hata meza hii kwa ofisi yako isikushinde,Mninga huleta mvuto sana hasa ufundi ukitulia mahali pakeTshs 700,000/=
01/08/2022

Hata meza hii kwa ofisi yako isikushinde,
Mninga huleta mvuto sana hasa ufundi ukitulia mahali pake
Tshs 700,000/=

Bado unatumia mtindo wa kabati la vyombo wa zamani?Karibu tukupe kilicho bora
01/08/2022

Bado unatumia mtindo wa kabati la vyombo wa zamani?
Karibu tukupe kilicho bora

01/08/2022
Kitchen Cabinet kwenye matengenezo.Mbao ni pine (softwood)
01/08/2022

Kitchen Cabinet kwenye matengenezo.
Mbao ni pine (softwood)

Kabati la mtoto, milango 3Tshs 750,000/=
01/08/2022

Kabati la mtoto, milango 3
Tshs 750,000/=

Kabati la MTIKI (milango) na Mdf ndaniUtengenezaji rafiki kwa gharama nafuu
01/08/2022

Kabati la MTIKI (milango) na Mdf ndani
Utengenezaji rafiki kwa gharama nafuu

Console Table ya Mpangapanga Tshs 600,000/=
01/08/2022

Console Table ya Mpangapanga Tshs 600,000/=

MDF Vs Mninga
01/08/2022

MDF Vs Mninga

Mbao ngumu ya mninga huwa haidanganyi.
01/08/2022

Mbao ngumu ya mninga huwa haidanganyi.

Address


Telephone

+255782490111

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when onestopfurnituretz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Furniture Store?

Share